WORD WIDE GOSPEL NEWS

BONBON KOJAK MUSICIEN DE WERRASON KUMPOKEA YESU KRISTO.

BONBON KOJAK MUSICIEN DE WERRASON


Aliyekuwa DANCER wa kundi la WERRASAN "BONBON KOJAK MUSICIEN DE WERRASON" Hivi karibuni alisikika kwenye vipindi cha redio na Television akitoa ushuhuda kuwa kwa sasa ameamua kumpokea Bwana Yesu Kristo , mana shetani alimtesa kwa Muda mrefu ila sasa Yesu kamuokoa. Unaweza ukatazama maojiano yake na mtangazaji mmoja kutoka kule DRC CONGO.


VIDEO : ANNASTICIA MUKABWA - BILA WEWE


Annasticia Mukabwa
Kutoka jijini Nairobi leo nimekuletea wimbo utakaokubariki uitwao “Bila Wewe” kutoka kwa mwimbai wa Injili nchini anayefahamika kwa jina la Annasticia Mukabwa, muziki huu umetyaarishwa ndani ya studio za Spotlight Media zilizopo nchini Kenya .

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utakubariki sana, Ameen.
                                                                     Click here for more information
                                                                Spotlight Media Online Tv News

0 comments:

Post a Comment